Don't Bother ya Joh Makini Ft AKA iko kwa hewa.


Tarehe 10 November 2015, single mpya ya msanii kutoka Bongo Flevani ‘Don’t Bother’ ya Joh Makini ilitambulishwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo kikubwa cha burudani Africa, MTV Base  saa 12 jioni saa za Africa Mashariki kama #SpankingNew.

 
Kama hukuweza kuinasa video hiyo jana jioni usijali mtu wangu kwani official audio ya single mpya ya Joh Makini imenifikia… Mtayarishaji wa ngoma mpya ya Joh Makini naAKA ni msanii pia kutoka Bongo Flevani Nahreel wa The Industry lakini kwenye upande wa Video Director umesimamiwa na Justin Campos wa Gorilla Films kutoka South Africa.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment